iqna

IQNA

shakhsia katika qurani
Shakhsia katika Qur'ani /53
TEHRAN (IQNA) – Tukiangazia aya za Qur’ani Tukufu tunaona kwamba shetani ana njia nyingi za kujipenyeza nyoyo za watu na kwamba bila ya kumwamini Mungu kwa nguvu, mtu hawezi kupinga vishawishi vya Shetani.
Habari ID: 3477814    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /48
TEHRAN (IQNA) – Katika historia, kumekuwa na makundi mbalimbali ya watu wanaopinga mitume wa kiungu na mafundisho yao.
Habari ID: 3477626    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /45
TEHRAN (IQNA) – Muhammad (SAW), mjumbe wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, aliteuliwa kuwa utume huko Makka, katika mazingira ya dhulma na ufisadi ambapo Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) ilikuwa ikisahaulika karibu na Nyumba ya Mwenyezi Mungu (Kaaba).
Habari ID: 3477553    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/05

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /44
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inawatambulisha wasaidizi wa karibu wa Nabii Isa (AS), au Yesu kama waumini waliokuwa na sifa maalum.
Habari ID: 3477389    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /43
TEHRAN (IQNA) – Nabii Isa au Yesu (AS) ni shakhsia maalum katika Qur'ani Tukufu na anaelezewa kuwa ni mtu ambaye alizaliwa akiwa ametakasika na akafa akiwa ametakasika na kwamba na yuko pamoja na Mwenyezi Mungu hadi atakapotokea tena mwishoni mwa wakati ili kuwaokoa wanadamu.
Habari ID: 3477278    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/13

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /41
TEHRAN (IQNA) Nabii Isa Masih –Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake- (AS) ni mmoja wa wajumbe maalum wa Mwenyezi Mungu ambaye alisimamia, kwa mwenendo na hulka njema na hivyo kuvutia wafuasi wengi na kuwaalika watu wengi kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477078    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /40
TEHRAN (IQNA) – Watu wana maswali mengi kuhusu maisha baada ya kifo, ambayo baadhi yake hayajajibiwa.
Habari ID: 3476976    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /37
TEHRAN (IQNA) – Makuhani wengi walitoa tuhuma zisizo sahihi dhidi ya Bibi Maryam baada ya kuzaliwa kwa Isa Masih (Yesu) na wakati huo Zakariya aliibuka na kuwa msaidizi na muungaji mkono wa kwanza wa Bibi Mariamu na Nabii Isa-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS).
Habari ID: 3476911    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/25

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /34
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa Mitume wa Mwenyezi Mungu, wachache wanaaminika kuwa walibaki hai na hawakupata uzoefu wa kifo. Miongoni mwao ni Nabii Ilyas (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ambaye alimuomba Mwenyezi Mungu amjaalie kifo baada ya watu wake kumuasi, lakini Mwenyezi Mungu alimlipa ujira mwema kwa kumuweka hai mbinguni.
Habari ID: 3476690    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/11

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /33
TEHRAN (IQNA) – Luqman alikuwa mwanachuoni aliyeishi zama za Nabii Dawoud na alijulikana kwa elimu yake kubwa, hekima na ushauri wake wa kimaadili kwa mwanawe.
Habari ID: 3476637    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /32
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kifo cha baba yake Dawoud (AS), Suleiman (AS) akawa nabii na mfalme wa Bani Isra’il.
Habari ID: 3476590    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu / 31
TEHRAN (IQNA) – Dawod alikuwa miongoni mwa Mitume wakubwa wa Mwenyezi Mungu miongoni mwa Bani Isra’il ambaye pia alikuwa mfalme, hakimu na mwanachuoni msomi.
Habari ID: 3476555    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Shakhsia katika Qur’ani Tukufu/30
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa wahusika mbalimbali waliotajwa katika hadithi za Qur’ani Tukufu, kuna baadhi ambao walikuwa na sifa au tabia za kichawi na za ajabu. Kwa mfano, wengine wanasema Jalut alikuwa na urefu wa mita tatu na mwenye nguvu nyingi, ingawa aliuawa kwa jiwe ndogo.
Habari ID: 3476521    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/06

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /29
TEHRAN (IQNA) – Bani Isra’il, ambao wakati wa utume wa Musa (AS) waliasi baadhi ya amri za Mwenyezi Mungu, waliendelea na uasi wao baada ya kifo cha Musa.
Habari ID: 3476501    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/01

Shakhsia Katika Qur'ani Tukufu / 28
TEHRAN (IQNA)- Isipokuwa Bibi Maryam, hakuna mwanamke mwingine ambaye ametajwa moja kwa moja katika Quran Tukufu. Lakini kuna majina yasiyo ya moja kwa moja ya wanawake Waumini na makafiri.
Habari ID: 3476453    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23

Shakhsia Katika Qur’ani Tukufu /27
TEHRAN (IQNA) - Firauni lilikuwa jina la watawala wa Misri ya kale. Firauni aliyeishi wakati wa Nabii Musa (AS) alidai uungu. Alizama baharini lakini mwili wake umebaki kuwa fundisho kwa wanadamu.
Habari ID: 3476406    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15

Shakhsia katika Qur’ani Tukufu /26
TEHRAN (IQNA) – Utafiti wa hadithi za Mitume wa Mwenyezi Mungu unaonyesha kwamba kila mmoja wao alikuwa na sifa maalum. Harun (AS), kwa mfano, alikuwa mzungumzaji na alikuwa na uwezo wa kushawishi.
Habari ID: 3476394    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu/24
TEHRAN (IQNA) – Musa-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- (AS)-, nabii mkuu wa Bani Isra’il ambaye aliinukua katika nyumba ya Firauni, aliwaokoa watu kutokana na dhulma ya Firauni.
Habari ID: 3476333    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31

Shakhsia Katika Qur'ani Tukufu /23
TEHRAN (IQNA) – Wanahistoria na wafasiri wa Qur’ani Tukufu wameandika kwamba Nabii Shuaib (AS) alikuwa kipofu lakini alikuwa mzungumzaji stadi na mahiri katika hoja na mantiki.
Habari ID: 3476302    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu / 22
TEHRAN (IQNA) – Shuaib –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- (AS) alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu na dhuria wa Ibrahim (AS). Shuaib (AS) ni nabii wa tatu wa Kiarabu ambaye jina lake limetajwa katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476282    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21